Sekta zote
Chakula na Vinywaji
Tunasaidia biashara za chakula na vinywaji kudhibiti uzalishaji, stoo, usambazaji, na ubora ili kupunguza upotevu na kuongeza faida.
Namna tunavyohudumia sekta hii
Tunasaidia biashara za chakula na vinywaji kudhibiti uzalishaji, stoo, usambazaji, na ubora ili kupunguza upotevu na kuongeza faida.
Changamoto tunazotatua
→
Upotevu wa bidhaa
Spoilage na expiry husababisha hasara kubwa ikiwa stoo haisimamiwi kwa karibu.→
Uhitaji kubadilika haraka
Mahitaji ya soko hubadilika na kufanya mipango ya uzalishaji kuwa ngumu.→
Ufuatiliaji wa ubora
Kudhibiti ubora katika hatua zote kunahitaji data iliyo sahihi.Huduma zinazohusiana
→→→
Uchambuzi wa data na akili ya biashara
Data yako iwe chombo cha maamuzi, si mzigo wa ripoti zisizosomwa.Suluhisho za IoT na Industry 4.0
Vifaa vilivyounganishwa kwa uendeshaji wa kisasa na wenye tija.Uhandisi wa API na otomatiki ya biashara
Tunafanya programu na zana zako zifanye kazi pamoja kwa mtiririko mmoja.