Muhtasari
Tunajenga ERP inayounganisha fedha, mauzo, ununuzi, hesabu, rasilimali watu na shughuli za kila siku katika jukwaa moja.
Kinachojumuishwa
→Uhasibu
→Usimamizi wa hesabu ya bidhaa
→CRM
→Mishahara
Faida
→
Udhibiti wa mwisho hadi mwisho
Unaona mtiririko wa biashara kutoka oda hadi malipo kwenye mfumo mmoja.→
Utekelezaji unaolingana na mchakato wako
Tunaseti ERP kulingana na mtindo wa kampuni yako, si kinyume chake.→
Msaada wa karibu
Timu yetu hutoa mafunzo, usaidizi na maboresho endelevu baada ya uzinduzi.Maswali ya mara kwa mara
ERP ni nini na je tunaihitaji?
ERP ni mfumo unaounganisha fedha, HR, inventory, na operesheni. Kama unategemea tools nyingi zisizounganishwa, ERP inaweza kuleta uwiano.
Utekelezaji wa ERP huchukua muda gani?
Kwa kawaida miezi 3 hadi 6 kulingana na ugumu wa operesheni na kiwango cha customization kinachohitajika.
Mnaweza kufanya kazi na mifumo yangu ya sasa?
Ndiyo. Tunaunganisha na kuboresha mifumo uliyonayo badala ya kukulazimisha kuanza upya kila kitu.
