Mfano wa kazi
Maarifa ya tabia ya mteja na mapato
Timu za sales na marketing zilihitaji picha halisi ya wateja badala ya kubashiri.
2x
Campaign ROI
+25%
Customer Retention
Muhtasari
Timu za sales na marketing zilihitaji picha halisi ya wateja badala ya kubashiri.
The Challenge
Promotions zilifanyika bila segmentation madhubuti na nafasi nyingi za mapato zilikuwa zinapotea.
Our Solution
Tulijenga injini ya customer analytics kwa segmentation, tabia za ununuzi, na mapendekezo ya kampeni.
The Results
Retention iliongezeka, ROI ya kampeni ikapanda, na maamuzi ya timu yakawa na msingi wa data unaoeleweka.