Muhtasari
Tunajenga utaratibu wa ITSM unaorahisisha tiketi, matukio, mabadiliko na huduma kwa watumiaji wa ndani na wateja.
Kinachojumuishwa
Faida
Maswali ya mara kwa mara
ITSM ni nini na kwa nini ni muhimu?
ITSM ni usimamizi wa huduma za IT kwa mpangilio rasmi, unaosaidia timu kushughulikia incidents, huduma, na maboresho kwa uwazi na nidhamu.
Mnatumia ITSM tools zipi?
Tunafanya utekelezaji wa ServiceNow, Jira Service Management, na BMC Helix kulingana na ukubwa na mahitaji ya taasisi yako.
Cybersecurity ni kazi ya mara moja au endelevu?
Ni endelevu. Vitisho hubadilika kila wakati, hivyo tunatoa ufuatiliaji, tathmini za mara kwa mara, na incident response.
Mnashughulikiaje usalama wa data?
Tunatumia encryption, access controls, APIs salama, monitoring, na best practices za viwango vya kimataifa pamoja na msaada wa compliance.
Mnatoa support ya saa 24/7?
Ndiyo, kwa wateja walio kwenye mipango ya monitoring na support, hasa kwa matukio muhimu yanayohitaji hatua ya haraka.
