Mfano wa kazi
Uboreshaji wa utendaji wa tovuti na conversion
Kampuni ilikuwa na tovuti polepole iliyopoteza leads kabla wageni hawajaelewa huduma zake.
60% faster
Page Load Improvement
2x
Lead Generation
Muhtasari
Kampuni ilikuwa na tovuti polepole iliyopoteza leads kabla wageni hawajaelewa huduma zake.
The Challenge
Page load ilikuwa polepole hasa kwa simu, bounce rate ilikuwa juu, na conversion ilikuwa chini.
Our Solution
Tuliboresha kasi, tukarekebisha kurasa muhimu kwa mobile UX, na kuweka analytics za conversion.
The Results
Muda wa kufungua kurasa ulipungua kwa kiasi kikubwa, bounce rate ikashuka, na leads kuongezeka.